Mkuu
wa Kitengo cha Usalama na Mazingira kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi
na Mawasiliano, Mhandisi Julius Chambo, akitoa elimu kwa madereva wa
malori kuhusu utekelezaji wa Sheria mpya ya Udhibiti wa Uzito wa Magari
ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, mjini Tunduma, mkoani Mbeya. Sheria hiyo
imeshaanza kutumika.
Dereva
wa malori ya mizigo Bw. Juma Nachikolo, akiuliza swali kwa Mkuu wa
Kitengo cha Usalama na Mazingira kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Julius Chambo (hayupo pichani), mara baada ya
kupewa elimu ya Sheria mpya ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya Jumuiya ya
Afrika Mashariki iliyoanza kutumika tarehe 1 Machi, 2019, mjini
Tunduma, mkoani Mbeya.
Baadhi
ya madereva wa malori wakisikiliza elimu inayotolewa juu ya utumikaji
wa Sheria mpya ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya Jumuiya ya Afrika
Mashariki iliyoanza kutumika tarehe.
No comments:
Post a Comment