Sheria na Kanuni za Maadili za Utumishi wa Umma
Kwa mujibu wa Kanuni za Maadili ya Utendaji katika Utumishi
wa Umma, ili Utumishi wa Umma uwe wenye ufanisi na wa
kuheshimika, watumishi wanapaswa kuzifuata Kanuni za Maadili ya Utumishi ikiwa ni pamoja na kuwa na tabia na mwenendo unaozingatia mambo yafuatayo:
Kutoa Huduma Bora;
Utii kwa Serikali;
Bidii ya Kazi;
Kutoa Huduma Bila Upendeleo;
Kufanya Kazi kwa Uadilifu;
Kuwajibika kwa Umma;
Kuheshimu Sheria;
Matumizi sahihi ya Taarifa
Hivyo basi, Mwenyekiti wa Mtaa au kijiji anayekiuka moja ya
mambo yaliyobainishwa katika Kanuni za Maadili ya Utumishi wa Umma anapaswa kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa Kanuni na taratibu Husika.
No comments:
Post a Comment