Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake leo bungeni Jijini Dodoma.
Wageni
Mbali mbali wakifuatilia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi katika Mkutano wa 15 Kikao cha 15 Kilichofanyika leo Bungeni
Jijini Dodoma.
Katibu
wa Bunge la Tanzania na Katibu wa Kanda Mabunge Jumuiya ya Madola Kanda
ya Afrika, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akielezea jambo uku
akisikilizwa na Katibu wa Bunge la Zambia na Mwenyekiti wa Chama cha
Makatibu Mezani Kanda ya Afrika, Ndg. Cecilia Mbwewe (katikati) na
Katibu wa Bunge la Jimbo la Free State, Afrika Kusini ambaye pia ni
Mwenyekiti wa Bodi ya Wahariri ya Jarida la Chama cha Makatibu Mezani
Kanda ya Afrika (SCOTT Africa Journal), Ndg. Thabo Mofokeng ndani ya
Ukumbi wa Bunge leo Jijini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Job Ndugai (wa pili kulia) akimkaribisha Katibu wa Bunge la
Jimbo la Free State, Afrika Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya
Wahariri ya Jarida la Chama cha Makatibu Mezani Kanda ya Afrika (SCOTT
Africa Journal), Ndg. Thabo Mofokeng (kushoto) pale ugeni kutoka Chama
cha Makatibu Mezani (SOCATT Kanda ya Afrika) wa Mabunge ya Jumuiya ya
Madola Kanda ya Afrika walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini
Dodoma. Wa pili kushoto ni Katibu wa Bunge la Tanzania na Katibu wa
Kanda Mabunge Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Stephen Kagaigai
na Kulia ni Katibu wa Bunge la Zambia na Mwenyekiti wa Chama cha
Makatibu Mezani Kanda ya Afrika, Ndg. Cecilia Mbwewe
Spika
wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akutana na kufanya mazungumzo na Katibu
wa Bunge la Zambia na Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mezani Kanda ya
Afrika, Ndg. Cecilia Mbwewe (katikati) na Katibu wa Bunge la Jimbo la
Free State, Afrika Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wahariri
ya Jarida la Chama cha Makatibu Mezani Kanda ya Afrika (SCOTT Africa
Journal), Ndg. Thabo Mofokeng walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni
Jijini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Job Ndugai (wa tatu kushoto) akutana na kufanya mazungumzo na
ugeni kutoka Chama cha Makatibu Mezani (SOCATT Kanda ya Afrika) wa
Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika walipomtembelea leo Ofisini
kwake Bungeni Jijini Dodoma. Ugeni huo ulioongozwa na Katibu wa Bunge
la Zambia na Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mezani Kanda ya Afrika,
Ndg. Cecilia Mbwewe (kushoto kwake)
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akikabidhiwa zawadi ya asali
mbili kutoka Zambia na zawadi ambayo haijafunguliwa na Katibu wa Bunge
la Zambia na Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mezani Kanda ya Afrika,
Ndg. Cecilia Mbwewe alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini
Dodoma.
Spika
wa Bunge, Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na ugeni kutoka
Chama cha Makatibu Mezani (SOCATT Kanda ya Afrika) wa Mabunge ya Jumuiya
ya Madola Kanda ya Afrika, walioongozwa na Katibu wa Bunge la Zambia na
Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mezani Kanda ya Afrika, Ndg. Cecilia
Mbwewe (wa pili kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini
Dodoma. Wa pili kushoto ni Katibu wa Bunge la Tanzania na Katibu wa
Kanda Mabunge Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Stephen Kagaigai
Spika
wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akutana na kufanya mazungumzo na
Kamishna wa Bima kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima (TIRA),
Dkt. Baghayo Saqware (katikati) alipomtembelea leo Ofisini kwake
Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bima ya
Afya AAR Tanzania na Mdau wa TIRA, Ndg. Violet Modechai.
Spika
wa Bunge, Job Ndugaiakutana na kufanya mazungumzo na ugeni kutoka
Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima (TIRA) wakiongozwa na Kamishna
wa Bima, Dkt. Baghayo Saqware (kushoto kwake) walipomtembelea leo
Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Job Ndugai akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi milioni 33
na Kamishna wa Bima kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima
(TIRA), Dkt. Baghayo Saqware pale ugeni kutoka Mamlaka hiyo
ulipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kwa ajili ya
Ujenzi wa vyoo vya Mfano kwa ajili ya kuboresha Mazingira ya Mtoto wa
kike Mashuleni. Katikati ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake
Tanzania (TWPG) na Mbunge wa Urambo, Margaret Sitta.
Katibu
wa Bunge la Tanzania na Katibu wa Kanda Mabunge Jumuiya ya Madola Kanda
ya Afrika, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akizungumza na Katibu wa Bunge
la Zambia na Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mezani Kanda ya Afrika,
Ndg. Cecilia alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu
wa Bunge la Tanzania na Katibu wa Kanda Mabunge Jumuiya ya Madola Kanda
ya Afrika, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akutana na kufanya mazungumzo
na Katibu wa Bunge la Zambia na Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mezani
Kanda ya Afrika, Ndg. Cecilia Mbwewe (katikati) na Katibu wa Bunge la
Jimbo la Free State, Afrika Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya
Wahariri ya Jarida la Chama cha Makatibu Mezani Kanda ya Afrika (SCOTT
Africa Journal) ), Ndg. Thabo Mofokeng walipomtembelea leo Ofisini kwake
Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu
wa Bunge la Tanzania na Katibu wa Kanda Mabunge Jumuiya ya Madola Kanda
ya Afrika, Ndg. Stephen Kagaigai (katikati) akiwa katika picha ya
pamoja na Katibu wa Bunge la Zambia na Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu
Mezani Kanda ya Afrika, Ndg. Cecilia Mbwewe (kulia) na Katibu wa Bunge
la Jimbo la Free State, Afrika Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi
ya Wahariri ya Jarida la Chama cha Makatibu Mezani Kanda ya Afrika
(SCOTT Africa Journal) ), Ndg. Thabo Mofokeng walipomtembelea leo
Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu
wa Bunge la Tanzania na Katibu wa Kanda Mabunge Jumuiya ya Madola Kanda
ya Afrika, Ndg. Stephen Kagaigai (wa pili kushoto) akimsikiliza Katibu
wa Bunge la Jimbo la Free State, Afrika Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti
wa Bodi ya Wahariri ya Jarida la Chama cha Makatibu Mezani Kanda ya
Afrika (SCOTT Africa Journal) ), Ndg. Thabo Mofokeng wakati wakiongozana
wakielekea katika Ofisi ya Spika Bungeni Jijini Dodoma. Wa pili kulia
ni Katibu wa Bunge la Zambia na Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mezani
Kanda ya Afrika, Ndg. Cecilia Mbwewe (kulia) Wengine ni Maafisa kutoka
Bunge la Tanzania na Zambia
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment