Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akizungumza
Bungeni jijini Dodoma Mei 8.2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifurahia jambo na Waziri wa Nchi Ofisi
ya Waziri Mkuu Uwekezaji, Angela Kairuki Bungeni jijini Dodoma Mei
8.2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, Jenista Mhagama
Bungeni jijini Dodoma Mei 8.2019.
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Peter
Serukamba, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 8.2019, katikati
ni Mbunge wa Mbozi Magharibi, David Silinde.
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Wabunge David Silinde (kushoto) wa
Mbozi Magharibi na Peter Serukamba (katikati) wa Kigoma Kaskazini,
kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 8.2019
No comments:
Post a Comment