Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizungumza
mara baada ya kuwapongeza wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw.
John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo aliowaita Ikulu
jijini Dar es salaam Juni 13, 2019
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akijiandaa
kuwakabidhi kifuta jasho cha shilingi milioni 5 wabunifu wa Umeme wa
Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute(Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi
Ngairo aliowaita kuwapongeza na kuongea nao pamoja na Mkurugenzi Mkuu na
Waandaji wa Kipindi cha Hadubini TBC, Makatibu wakuu wa Wizara ya
Nishat, Elimu Sayansi na teknolojia, Viwanda na Biashara, Mkurugenzi
Mkuu na wataalamu kutoka TANESCO, Kamishna wa Umeme na Mkurugenzi Mkuu
na Wataalamu wa COSTECH Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwakabidhi
kifuta jasho cha shilingi milioni 5 wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka
Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo
aliowaita kuwapongeza na kuongea nao pamoja na Mkurugenzi Mkuu na
Waandaji wa Kipindi cha Hadubini TBC, Makatibu wakuu wa Wizara ya
Nishat, Elimu Sayansi na teknolojia, Viwanda na Biashara, Mkurugenzi
Mkuu na wataalamu kutoka TANESCO, Kamishna wa Umeme na Mkurugenzi Mkuu
na Wataalamu wa COSTECH Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwasindikiza baada ya kuwakabidhi kifuta jasho cha shilingi milioni 5
kuwakabidhi wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane
Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo aliowaita kuwapongeza na
kuongea nao pamoja na Mkurugenzi Mkuu na Waandaji wa Kipindi cha
Hadubini TBC, Makatibu wakuu wa Wizara ya Nishat, Elimu Sayansi na
teknolojia, Viwanda na Biashara, Mkurugenzi Mkuu na wataalamu kutoka
TANESCO, Kamishna wa Umeme na Mkurugenzi Mkuu na Wataalamu wa COSTECH
Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika
picha ya kumbukumbu na wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John
Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo pamoja na Mkurugenzi
Mkuu na Waandaji wa Kipindi cha Hadubini TBC, Makatibu wakuu wa Wizara
ya Nishat, Elimu Sayansi na teknolojia, Viwanda na Biashara, Mkurugenzi
Mkuu na wataalamu kutoka TANESCO, Kamishna wa Umeme na Mkurugenzi Mkuu
na Wataalamu wa COSTECH Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akijiandaa
kuwakabidhi wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane
Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo aliowaita kuwapongeza na
kuongea nao pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa TBC Dkt Ayoub Rioba pamoja na
Waandaji wa Kipindi cha Hadubini TBC, Ikulu jijini Dar es salaam Juni
13, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwapongeza wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane
Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo aliowaita Ikulu jijini Dar
es salaam Juni 13, 2019
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifurahi na
wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee
Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo aliowaita Ikulu jijini Dar es salaam Juni
13, 2019
Mbunifu
wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu)
aliyepongezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli mara baada ya kuwapongeza na mwenzake Bw. Jailosi Ngairo
aliowaita Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019.
Mbunifu
wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. Jailosi Ngairo aliyepongezwa na Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli mara baada
ya kuwapongeza na mwenzake Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu)
aliowaita Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019.
Mtangazaji
wa Shirika la utangazajinTanzania TBC Tatu Abdalah kutoka Njombe
akifuatilia kwa umakini tukio la kuwaponeza wabunifu wa Umeme wa Maji
kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na mwenzake Bw.
Jailosi Ngairo waliopongezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019. PICHA
NA IKULU
No comments:
Post a Comment