Mwenyekiti
umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Margaret Sitta
(katikati) akizungumza na ugeni kutoka Bunge la Rwanda pamoja na wajumbe
wa umoja huo(wote hawapo kwenye picha) katika kikao kilichofanyika leo
nyumbani kwa Spika Ndugai uzunguni Jijini Dodoma. Kushoto ni Spika wa
Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille na Naibu Spika wa Bunge la
Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson
Mwenyekiti
umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Margaret Sitta
akizungumza na ugeni kutoka Bunge la Rwanda pamoja na wajumbe wa umoja
huo katika kikao kilichofanyika leo nyumbani kwa Spika Ndugai uzunguni
Jijini Dodoma. Kulia kwake ni Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa
Donatille na kushoto kwake ni Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe.
Dkt. Tulia Ackson
Makamu
Mwenyekiti umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Suzan Lyimo,
Katibu wa Umoja huo, Mhe. Lolensia Bukwimba wakifuatilia mazungumzo
baina yao na ugeni kutoka Bunge la Rwanda uliofanyika leo nyumbani kwa
Spika Ndugai uzunguni Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment