Muonekano
wa barabara ya Bwanga- Biharamulo (km 68), ambayo ujenzi wake kwa
kiwango cha lami umekamilika, barabara hiyo inaunganisha mkoa wa Kagera
na Geita.
Muonekano
wa barabara ya Lusahunga-Ushirombo (km 110), ambayo ujenzi wake kwa
kiwango cha lami unaendelea, barabara hiyo ni sehemu ya barabara kuu ya
Tinde – Isaka- Rusumo inayounganisha mikoa ya Kagera – Geita na
Shinyanga
Mhandisi
mshauri Thomas Kidane toka kampuni ya SMEC ya Australia akifafanua
jambo kwa wahandisi Peter Sikalumba (kushoto), Joyce Mbunju, na Rubara
Marandu (kulia) toka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya
ujenzi), walipokagua ujenzi wa barabara ya Lusahunga-Ushirombo (km
110), ambayo ujenzi wake unaendelea kwa kiwango cha lami.Muonekano
wa barabara ya Lusahunga-Ushirombo (km 110), ambayo ujenzi wake kwa
kiwango cha lami unaendelea, barabara hiyo ni sehemu ya barabara kuu ya
Tinde – Isaka – Rusumo inayounganisha mikoa ya Kagera – Geita na
Shinyanga.
No comments:
Post a Comment