Rais wa Zimbabwe
Mheshimiwa Emerson Mnangagwa akisoma moja ya kitabu cha Lugha ya Kiswahili
katika Mkutano wa Ndani wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo
Kusini mwa Afrika SADC Ikulu jijini Dar es Salaam. Kitabu hicho alikabidhiwa na
Mwenyekiti wa SADC Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli kabla ya mkutano huo.
|
Jambo! Tafadhali nitumie picha za MAURITIUS kwenye mkutano wa kilele. Asante sana!
ReplyDeleteMy email address is lutchmunsarvesh@gmail.com