Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifunga rasmi mkutano wa
39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa
Mikutano wa Julius Nyerere leo Jumapili Agosti 18, 2019
Makamu
wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na viongozi wengine
wakimpigia makofi Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika
na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
wakati akifunga rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC
katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere leo Jumapili
Agosti 18, 2019
Katibu
Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Tax akitoa majumuisho kabla ya
kufungwa rasmi kwa mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC
katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere leo Jumapili
Agosti 18, 2019
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Katibu
Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Tax kwa maandalizi mazuri baada ya
kufunga mkutano huo wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika
Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere leo Jumapili Agosti
18, 2019
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Angola
Mhe Joao Manuel Goncalves Lourenco baada ya kufunga rasmi mkutano wa 39
wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa
Mikutano wa Julius Nyerere leo Jumapili Agosti 18, 2019
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa
Namibia Dkt. Hage Geingob na Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa
baada ya kufunga rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa
SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere leo
Jumapili Agosti 18, 2019
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsidikiza Rais wa Andry
Nirina Rajoelina baada ya kufunga rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi
na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius
Nyerere leo Jumapili Agosti 18, 2019
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa
Comorro Mhe Azali Assoumani na mkewe Mama Assoumani baada ya kufunga
rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi
wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere leo Jumapili Agosti 18, 2019
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri Mkuu wa
Lesotho Mhe. Tom Thabane baada ya kufunga rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu
wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa
Julius Nyerere leo Jumapili Agosti 18, 2019
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na
Rais wa Ushelisheli Mhe. Danny Faure baada ya kufunga rasmi mkutano wa
39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa
Mikutano wa Julius Nyerere leo Jumapili Agosti 18, 2019
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika naRais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpatia zawadi Rais wa
Ushelisheli Mhe. Danny Faure walipomaliza mazungumzo yao baada ya
kufunga rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika
Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere leo Jumapili Agosti
18, 2019
No comments:
Post a Comment