Matokeo chanyA+ online




Thursday, April 14, 2022

RAIS SAMIA AWASILI WASHINGTON MAREKANI

 



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi, Watumishi  wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania pamoja na Baadhi ya Wawakilishi kutoka nchi za SADC  waliofika kumpokea alipowasili Jijini Washington Nchini Marekani kwa ajili ya kuanza ziara ya Kikazi  tarehe 13 April 2022

13 comments:

  1. Hongera Rais wetu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania piga kazi mama Watanzania tupo nyuma yako tunakuombea kwa Mungu ufanye ziara ya Amani na urudi salama.Watanzania tunakuoenda na tunakuamini kwa jitihada zako za kuboresha uchumi.

    ReplyDelete
  2. Tanzania tunahitaji maendeleo na jitihada zako Rais wetu SSH zinaonekana duniani. Utalii na mambo mengine ya uchumi tupo vizuri kabisa Asante mama. Nani Kama MAMA

    ReplyDelete
  3. Hongera mama zaidi maendeleo tu

    ReplyDelete
  4. Tanzania inafunguka Kimataifa .
    Hongera sana mama!

    ReplyDelete
  5. Kazi nzuri watanzania tunatarajia kupata mazuri yanayotokana na ziara. Hongera mh Rais.

    ReplyDelete
  6. Tupo pamoja na mamaa na siyo nyuma yko

    ReplyDelete
  7. Hongera Mh.Rais wetu SSH wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania piga kazi mama Watanzania tupo nyuma yako tunakuombea kwa Mungu ufanye ziara ya Amani na urudi salama.Watanzania tunakuoenda na tunakuamini kwa jitihada zako za kuboresha uchumi.

    ReplyDelete
  8. Kila la kheri mama. Tunasubiri neema huku!!

    ReplyDelete
  9. Mama Samia Suluhu Hassan wewe ni muwakilishi wetu jenga na endeleza mahusiano ya Kimataifa juu na juu zaidi, mbele kwa mbele nyuma mwiko kauli mbiu yetu

    ReplyDelete