Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Dharura na
Ajali kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dkt. Juma Mfinanga kuhusu
hali za majeruhi 43 ambao wanapatiwa matibabu mara baada ya kuungua
miili yao katika ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro baada ya Lori
la Mafuta kupinduka na kuteketea kwa moto.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza wakati alipokuwa akiwajulia hali majeruhi wa ajali ya moto
ambao wameletwa kutoka mkoani Morogoro kwa ajili ya matibabu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwajulia hali majeruhi wa ajali ya moto ambao wamelazwa katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili mara baada ya kusafirishwa kutokea
mkoani Morogoro.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi mbalimbali katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili mara baada ya kutoka kuwajulia hali majeruhi 43 wa ajali ya
moto ambao wanapatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili
jijini Dar es Salaam. wakwanza kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali
ya Taifa ya Muhimbili Profesa Lawrence Museru na wa kwanza kulia ni Mkuu
wa Idara ya Magonjwa ya Dharura na Ajali Dkt. Juma Mfinanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Dharura na
Ajali kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dkt. Juma Mfinanga kuhusu
hali za majeruhi 43 ambao wanapatiwa matibabu mara baada ya kuungua
miili yao katika ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro. Wakwanza
kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Profesa
Lawrence Museru.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akitoka katika kitengo cha Dharura na kuelekea katika Wodi za Wagonjwa
kwa ajili ya kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya moto.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akitoka katika wodi ya Sewahaji mara baada ya kuwajulia hali majeruhi wa
ajali ya moto. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment