Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo
na Uvuvi katika mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa
kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020
katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Waziri
wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi (kushoto) akichangia katika mkutano
wa Wizara hiyo wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi
cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 uliofanyika
leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati)
Makamo
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) alipokuwa
akichangia wakati wa mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi
kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020
wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi uliofanyika leo katika
ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(katikati) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo
Bi.Marium Juma Abdalla Saadalia chini ya Mwenyekiti wake Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani).
Baadhi
ya Maofisa katika Wizara ya Kilimo,Maliasilio,Mifugo na Uvuvi wakiwa
katika mkutano wa Wizara hiyo wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi
kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020
uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya
Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (katikati),[Picha na Ikulu.] 26/08/2019.
No comments:
Post a Comment