Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa Agosti 25, 2019 ameondoka nchini kwenda Japan
kwa ziara ya kikazi ya siku saba. Pichani, Mhe. Majaliwa akizungumza na
Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako
(kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Avemaria Semakafu
(wapili kushoto) kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam kabla ya kuondoka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment