Zaidi ya
washiriki 225 wanatarajiwa kuhudhuri katika kongamano la 6 la Diaspora
litakalofanyika terehe 14-15 Disemba 2019 katika Visiwani Zanzibar .
Akizungumza na
waandishi wa habari Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Issa Haji Gavu katika ukumbi wa
raha leo mjini Unguja .
Amesema Serikali
ya Mapinduzi ya Zanzibar imeeandaa kongamano kwa
ajili ya washiriki
hao ambapo lengo kuu ni
kuwashajihisha watanzania walipoo nje
kuja kuwekeza na
kuleta maendeleo katika
nchi yao.
Aidha Waziri Gavu
amesema kufanyika kwa kongamano
hilo ni kuwepo kwa amani na
utulivu na ushiriki Zanziabr unaopelekea kuzidi kufanyika kwa kongamano hilo Visiwani Zanzibar
No comments:
Post a Comment