Daktari bingwa wa upasuaji
wa moyo na upandikizaji wa viungo kutoka Minneapolis Heart Institute Foundation
ya nchini Marekani Vibhu Kshettry
akimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha ubora wa huduma za matibabu ya moyo wa Taasisi
ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Tulizo
Shemu akimwelezea kuhusu upasuaji wa
moyo wa bila kufungua kifua jinsi unavyofanyika kwa kutumia mtambo wa Cathlab
walipotembelea Taasisi hiyo leo kwa ajili ya kuona huduma za matibabu ya moyo
zinazotolewa. Wa pili kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya
kanda ya Kaskazini KCMC Dr. Gileard Masenga
ambaye aliambatana na wageni hao. |
No comments:
Post a Comment