Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi, wakati alipozindua jengo
la Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya
Ruangwa, mkoani Lindi, kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brig.
Jenerali John Mbungo, Januari 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
No comments:
Post a Comment