|
Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Medard Kalemani akitoa maelezo
kuhusu mradi wa kuzalisha umeme kwa
kutumia gesi wa Kinyerezi I extension ambapo alisema Shirika la Umeme
Tanzania (TANESCO) kila mwaka hutenga sh. milioni 50 kwa ajili ya shughuli za mzingira
huku akiongeza kuwa wizara hiyo inawapa ushirikiano wataalamu kutoka Ofisi ya
Makamu wa Rais na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC).
PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS
|
Mbona hatuoni wafsnyskaxi sure wanaochimba bwawa Hilo?
ReplyDelete