![]() |
Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipima joto la mwili
kabla ya kuingia katika ukumbi wa Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
|
![]() |
Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa akipima joto la mwili kabla ya
kuingia katika ukumbi wa Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
|
![]() |
Spika wa Bunge Job Ndugai akipima joto la mwili kabla ya kuingia katika ukumbi wa Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. |
![]() |
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Makabrasha ya Taarifa Mbalimbali alizokabidhiwa na CAG katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma |
![]() |
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Charles Kichere akisoma Muhtasari wa Taarifa yake ya Mwaka 2018/2019 katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU |
No comments:
Post a Comment