Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
George Simbachawene akiongoza Kikao Kazi na Uongozi wa Juu wa Idara ya
Uhamiaji, kilichofanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara jijini
Dodoma.

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,
Dkt.Anna Makakala, akizungumza wakati wa Kikao Kazi na Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (hayupo pichani).Kikao hicho
kimefanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara jijini Dodoma.Kulia
ni Kamishna wa Utawala na Fedha,Peter Chogero.

Kamishna wa Utawala na Fedha,
Peter Chogero akizungumza wakati wa Kikao Kazi na Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, George Simbachawene (hayupo pichani).Kikao hicho
kimefanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara jijini Dodoma.Kushoto
ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dkt. Anna Makakala.Picha na Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi
No comments:
Post a Comment