Meli ya Mv.Butiama imetoka katika Chelezo na kuingia kwenye maji kwa ajili ya kufanyiwa zoezi la majaribio ya Mitambo mipya ya kuendesha meli ambapo zoezi hilo limefanyika katika eneo la Karakana ya Songoro baada ya eneo la Mwanza kusini kuwa finyu.
No comments:
Post a Comment