Ujenzi wa vituo vya mfano vya uchenjuaji madini ya dhahabu vya Itumbi- Chunya na Katente- Bukombe umekamilika na kwa sasa hatua za mwisho za majaribio zinaendelea.
Vituo hivyo ni kwa ajili ya kutoa mafunzo mbalimbali kwa vitendo kwa wachimbaji wadogo.
No comments:
Post a Comment