Ujue Mgodi wa Dhahabu wa Biharamulo (STAMIGOLD) unaomilikiwa na kuendeshwa na Watanzania kwa Asilimia 100.Mgodi huu ni Kampuni Tanzu ya STAMICO. Katika Kipindi Cha Julai 2019 - Februari 2020 ulizalisha na kuuza wakia 9107.45 za Madini ya Dhahabu na wakia 1,170.21 za Madini ya Fedha
No comments:
Post a Comment