Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mwenyekiti wa Tume ya
Utumishi ya Jeshi la Polisi, Uhamiaji na Magereza, George Simbachawene
(katikati), Naibu Waziri wa wizara hiyo ambae pia ni Makamu Mwenyekiti
wa tume hiyo, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) na Katibu Mkuu wa wizara
hiyo, Christopher Kadio(kushoto), wakiongoza kikao cha tume hiyo
kilichofanyika leo katika Ukumbi wa wizara jijini Dodoma.Picha na Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi |
No comments:
Post a Comment