Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akipita katika mashine maalum yenye dawa ya kunyunyiza ya kujikinga na
maambukizi ya virusi vya corona iliyowekwa geti B la kuingia katika
Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma. Mashine hiyo itatumiwa na Waheshimiwa
Wabunge, Watumishi wa Ofisi ya Bunge na Wageni maalum watakaotembelea
Bunge
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.
Tulia Ackson akipita katika mashine maalum yenye dawa ya kunyunyiza ya
kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona iliyowekwa geti B la
kuingia katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista
Mhagama akipita katika mashine maalum yenye dawa ya kunyunyiza ya
kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona iliyowekwa geti B la
kuingia katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma.
Mbunge wa Korogwe
na Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Bunge, Mhe. Mary Chatanda akipita
katika mashine maalum yenye dawa ya kunyunyiza ya kujikinga na
maambukizi ya virusi vya corona iliyowekwa geti B la kuingia katika
Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Mkuu wa Idara ya Mauzo na Masoko
kutoka Taifa Gas Tanzania Limited, Ndg. Domician Mkama akitoa maelezo
jinsi ya kupita katika mashine maalum yenye dawa ya kunyunyiza ya
kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona mbele ya viongozi wa Bunge
katika geti B la kuingia katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma. Wanne
kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,
Mhe. Jenista Mhagama (watatu kulia), Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen
Kagaigai (watano kulia), Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Bunge, Mhe.
Fakhria Shomari (kushoto) na Mkurugenzi Idara ya Utawala na Rasilimali
watu, Ndg. Jane Kajiru (wa pili kulia)
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kukabidhiwa mashine maalum
yenye dawa ya kunyunyiza ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona
iliyowekwa geti B la kuingia katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma.
Mashine hiyo ilitolewa na Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited ambapo
itatumiwa na Waheshimiwa Wabunge, Watumishi wa Ofisi ya Bunge na Wageni
maalum watakaotembelea Bunge
No comments:
Post a Comment