WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIPOKUWA AKIINGIA VIWANJA VYA BUNGE LEO JIJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipita katika mashine maalum ya
kunyunyuzia yenye dawa ya kujikinga na ugonjwa wa Corona wakati
alipoingia kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 21, 2020.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment