Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.
Tulia Ackson, akizungumza wakati akifungua mafunzo ya ya kuwajengea
uwezo wa masuala ya kijinsia kwa Wabunge Wanaume vinara wa masuala ya
jinsia, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni
Mwenyekiti wa Wabunge wanaume Vinara wa Jinsia Mhe. William Ngeleja na
kushoto ni Kaimu Mwenyekiti wa Umoja ya Wabunge Wanawake (TWPG) Mhe.
Zainab Vullu.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.
Tulia Ackson, akizungumza wakati akifungua mafunzo ya ya kuwajengea
uwezo wa masuala ya kijinsi Wabunge Wanaume vinara wa masuala ya jinsia,
katika Ukumbi wa Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Wabunge wanaume
Vinara wa Jinsia Mhe. William Ngeleja akimkaribisha mgeni rasmi, Naibu
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, katika mafunzo ya ya kuwajengea
uwezo wa masuala ya kijinsia kwa Wabunge Wanaume vinara wa masuala ya
jinsia, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma
Kaimu Mwenyekiti wa Umoja ya
Wabunge Wanawake (TWPG) Mhe. Zainab Vullu akitoa maneno ya utangulizi
wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa masuala ya kijinsia kwa Wabunge
Wanaume vinara wa masuala ya jinsia, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni
Jijini Dodoma. Katikakti ni Mgeni Rasmi, Naibu Spika wa Bunge, Mhe.
Dkt. Tulia Ackson, na kulia kwa mgeni Rasmi ni Mwenyekiti wa Umoja wa
Wabunge wanaume Vinara wa Jinsia Mhe. William Ngeleja.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.
Tulia Ackson na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge wanaume Vinara wa Jinsia
Mhe. William Ngeleja wakimsikiliza Mtoa mada kutoka chuo kikuu cha
Dodoma Dkt. Godfrey Sansa wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa
masuala ya kijinsia kwa Wabunge Wanaume vinara wa masuala ya jinsia,
katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma.
Naibu
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson na Mwenyekiti wa Umoja wa
Wabunge wanaume Vinara wa Jinsia Mhe. William Ngeleja wakimsikiliza Mtoa
mada kutoka chuo kikuu cha Dodoma Dkt. Godfrey Sansa wakati wa mafunzo
ya kuwajengea uwezo wa masuala ya kijinsia kwa Wabunge Wanaume vinara wa
masuala ya jinsia, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment