Matokeo chanyA+ online




Saturday, January 9, 2021

SHIRIKA LA NDEGE LA TANZANIA (ATCL) LAZINDUA RASMI SAFARI ZAKE ZA NDEGE KUTOKA DAR ES SALAAM HADI GEITA

Captain Noel Komba (kulia) akiwa na wafanyakazi wenzie Flight
Officer Abdallah Yasin senior cabin crew Happy Kimbe na Diana Nkomola
walioweka historia ya kufanya safari ya kwanza ya Shirika la Ndege la
Tanzania (ATCL) wakati Ndege yake aina ya Bombardier Q-400 ilipotua
uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 katika
uzinduzi wa safari zake mkoani humo.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Leonard Chamuriho akiwa na
viongozi wengine wakipata picha ya kumbukumbu ya mapokezi ya Ndege ya
Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 katika uwanja wa
Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 ikiwa ni uzinduzi wa
safari yake ya kwanza mkoani Geita



Abiria wanaoelekea Mwanza kutoka Geita wakipanda Ndege
ya Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 katika uwanja wa
Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 wakati wa uzinduzi wa
safari yake ya kwanza mkoani humo

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Leonard Chamuriho
akionesha kikonyo cha tiketi yake wakati akiingia katika ndege baada
ya kuomngoza mapokezi ya Ndege hiyo ya Shirika la Ndege la ATCL aina
ya Bombardier Q-400 katika uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe
09 Januari 2020  katika uzinduzi wa safari yake ya kwanza mkoani humo.


Wafanyakazi wa Kampuni ya huduma za ndege ya AIRCO wakiwa
miongozi mwa wananchi walioipokea kwa furaha Ndege ya Shirika la Ndege
la ATCL aina ya Bombardier Q-400 katika uwanja wa Ndege wa Geita,
Chato leo tarehe 09 Januari 2020 ikiwa ni uzinduzi wa safari yake ya
kwanza mkoani Geita.

 

No comments:

Post a Comment