Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Omari Mgumba akikagua bidhaa za sola power kutoka kampuni ya Poa Portable Power wakati wa kongamano la vijana lililofanyika Mkoani Arusha kushoto ni muoneshaji bwana Emanuel Godwin wa kampuni hiyo.
Vijana ambao wameshiriki kongamano la Vijana wakulima mkoani Arusha wakimsikiliza Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe Omary Mgumba (hayupo pichani).
No comments:
Post a Comment