Matokeo chanyA+ online




Tuesday, February 5, 2019

MWENYEKITI WA CCM MHE. RAIS DKT. JOHN MAGUFULI ATEMBELEA KITUO CHA TELEVISHENI CHA CHANNEL TEN NA RADIO MAGIC FM JIJINI DAR ES SALAAM.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufguli na Mkurugenzi mtendaji African Media Group (AMG) Jaffari Haniu wakimsikiliza mtangazaji wa kituo cha Channel Ten Hanifa Roy alipotembelea kuangalia utendaji kazi wa Vituo vya Televisheni na Radio vinavyomilikiwa na Chama cha Mapinduzi CCM. Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini Dar es Salaam.Febuari 5,2019.
Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth wakimsikiliza mtayarishaji vipindi wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten Issa Didi alipotembelea kuangalia utendaji kazi wa Vituo vya Televisheni na Radio vya African Media Group vinavyomilikiwa na Chama cha Mapinduzi CCM. Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini Dar es Salaam.Febuari 5,2019.
Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza mtayarishaji vipindi wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten Abdalaah Lugisha alipotembelea kuangalia utendaji kazi wa Vituo vya Televisheni na Radio vya African Media Group vinavyomilikiwa na Chama cha Mapinduzi CCM. Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini Dar es Salaam.Febuari 5,2019. 
Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika chumba cha kusomea Habari cha kituo cha Televisheni cha Channel Ten alipotembelea kuangalia utendaji kazi wa Vituo vya Televisheni na Radio vya African Media Group vinavyomilikiwa na Chama cha Mapinduzi CCM. Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini Dar es Salaam.Febuari 5,2019.
Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi mtendaji African Media Group (AMG) Jaffari Haniu akisoma habari, alipotembelea kuangalia utendaji kazi wa Vituo vya Televisheni na Radio vya African Media Group vinavyomilikiwa na Chama cha Mapinduzi CCM. Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini Dar es Salaam.Febuari 5,2019.
Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth katika chumba cha kurushia matangazo cha Rdio Magic Fm alipotembelea kuangalia utendaji kazi wa Vituo vya Televisheni na Radio vya African Media Group vinavyomilikiwa na Chama cha Mapinduzi CCM. Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini Dar es Salaam.Febuari 5,2019.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi mtendaji African Media Group (AMG) Jaffari Haniu alipotembelea ili kuangalia utendaji kazi wa Vituo vya Televisheni na Radio vya African Media Group vinavyomilikiwa na Chama cha Mapinduzi CCM. Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini Dar es Salaam.Febuari 5,2019.
Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi wa Ufundi wa Channel Ten Agustino Mganga alipotembelea kuangalia utendaji kazi wa Vituo vya Televisheni na Radio vya African Media Group vinavyomilikiwa na Chama cha Mapinduzi CCM. Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini Dar es Salaam.Febuari 5,2019.
Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mmoja wa Wafanyakzi na Mtangazaji wa Radio Magic Fm Orest Kawawo alipotembelea kuangalia utendaji kazi wa Vituo vya Televisheni na Radio vya African Media Group vinavyomilikiwa na Chama cha Mapinduzi CCM. Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini Dar es Salaam. Febuari 5,2019.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumzana Wafanyakazi na Watangazaji wa Channel Ten na Radio Magic Fm, alipotembelea kuangalia utendaji kazi wa Vituo vya Televisheni na Radio vya African Media Group vinavyomilikiwa na Chama cha Mapinduzi CCM. Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini Dar es Salaam.Febuari 5, 2019.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumzana Wafanyakazi na Watangazaji wa Channel Ten na Radio Magic Fm, alipotembelea kuangalia utendaji kazi wa Vituo vya Televisheni na Radio vya African Media Group vinavyomilikiwa na Chama cha Mapinduzi CCM. Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini Dar es Salaam.Febuari 5, 2019.
Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumzana Wafanyakazi na Watangazaji wa Channel Ten na Radio Magic Fm, alipotembelea kuangalia utendaji kazi wa Vituo vya Televisheni na Radio vya African Media Group vinavyomilikiwa na Chama cha Mapinduzi CCM. Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini Dar es Salaam.Febuari 5, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Bi. Diana Mwakatundu ambaye ni Mlemavu aliwapokuwa akizungumza na Wananchi mbalimbali waliokuwa nje ya Ofisi za Channel Ten na Radio Magic Fm, alipotembelea kuangalia utendaji kazi wa Vituo vya Televisheni na Radio vya African Media Group vinavyomilikiwa na Chama cha Mapinduzi CCM. Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini Dar es Salaam. Febuari 5, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi mbalimbali waliokuwa nje ya Ofisi za Channel Ten na Radio Magic Fm, alipotembelea kuangalia utendaji kazi wa Vituo vya Televisheni na Radio vya African Media Group vinavyomilikiwa na Chama cha Mapinduzi CCM. Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini Dar es Salaam. Febuari 5, 2019.
Wananchi mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aliwapokuwa akizungumza nao Wananchi hao waliokuwa nje ya Ofisi za Channel Ten na Radio Magic Fm, alipotembelea kuangalia utendaji kazi wa Vituo vya Televisheni na Radio vya African Media Group vinavyomilikiwa na Chama cha Mapinduzi CCM. Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini Dar es Salaam. Febuari 5, 2019.
Mama Janeth Magufuli Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimu Wananchi mbalimbali waliokuwa nje ya Ofisi za Channel Ten na Radio Magic Fm, walipotembelea kuangalia utendaji kazi wa Vituo vya Televisheni na Radio vya African Media Group vinavyomilikiwa na Chama cha Mapinduzi CCM. Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini Dar es Salaam. Febuari 5, 2019

Monday, February 4, 2019

MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI JIJINI DODOMA

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akizungumza Bungeni nakuiomba  Serikali  kutoa tamko kuhusu ambazo imeshachukua kuhusu hali ya mauaji ya watoto Mkoani  Njombe kabla ya Bunge hilo kuhairishwa wiki hii.
 Naibu Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akijibu maswali mbalimbali ya wabunge Bungeni Jijini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Dkt. Faustine Ndugulile akijibu hoja mbalimbali za Wabunge Bungeni  Jijini Dodoma.
  Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula akitolea ufafanuzi hoja mbalimbali za wabunge Bungeni Jijini Dodoma.
 Waziri wa  Katiba  na Sheria Mhe.Palamagamba  Kabudi  akiteta Jambo na Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko  Bungeni  Jijini Dodoma.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, wakifuatilia mijadala inayo endelea Bungeni Mjini Dodoma.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mwenye suti nyeusi, akisalimiana na Mbunge wa kuteuliwa, Abdalah Bulembo. kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Shinyanga.Azza Hamad, Bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2019. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN MGENI RASMIN SIKU YA SHERIA ZANZIBAR ZILIZOFANYIKA KISIWANI PEMBA WETE

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Meza Kuu wamesimama ukipigwa wimbo wa Taifa kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mhe Haroun Ali Suleiman.
 Waheshimiwa Majaji na Mahakimu na Wananchi wakihudhuria hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika Kisiwani Pemba Wilaya ya Wete ukumbi wa Baraza la Wawakilishi
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu, wakiwa katika ukumbi wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika Wilaya ya Wete Pemba.
 Baadhi ya Mawaziri Makatibu Wakuu na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
 Mwakilishi wa Chama Cha Wanasheria Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban, akitowa salamu za Wanasheria Zanzibar wakati wa hafla ya Maafdhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar.
  Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu akihutubia wakati wa hafla ya Siku ya Sheria Zanzibar zilizofanyika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
 Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizindua Kitabu cha Zanzibar ya Law, wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar zilizofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba, kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria Katiba Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mhe Haroun Ali Suleiman.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha Kitabu cha Zanzibar ya Law baada ya kukizindua katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika Kitaifa Kisiwani Pemba Wilaya ya Wete, kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mhe. Haroun Ali Suleimin.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar zilizofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
 Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu akiongoza maandamano ya Majaji wa Mahakama Kuu Zanzibar wakielekea katika ukumbi wa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba, wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar,kulia Jaji wa Mahakama Kuu Zanzibar Mhe. Abdulhakim Ameir Issa na kushoto Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar Mhe. Abraham Mwampashi.

Saturday, February 2, 2019

ATCL YAZINDUA MFUMO WA UUZAJI WA TIKETI ZAKE KWA MTANDAO DUNIANI KOTE

001
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL) Injinia Emmanuel Korosso kushoto nia Mkurugenzi wa Shirika hilo Injinia Ladlsaus Matindi wakizindua ofisi ya kuuzia tiketi za za shirika hilo lililopo Makao Makuu yake Mtaa wa Ohio jijini Dar es salaam ambapo pia imezindua mtandao wake kuuza tiketi mahali popote duniani na kukusanya mauzo kwa  mfumo wa Shirikisho la Mashirika ya Ndege Duniani (IATA)  kutokana na kukidhi viwango vya uanachama wa shirikisho hilo.
02
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL) Injinia Emmanuel Korosso akimsikiliza akimsikiliza Mkurugenzi wa Shirika hilo Injinia Ladlsaus Matindi akielezea namna tiketi za shirika zitakavyouzwa kupitia mtandao wa kuuza tiketi mahali popote duniani mara baada ya kurejeshewa uanachama katika mfumo wa Shirikisho la Mashirika ya Ndege Duniani (IATA)  kutokana na kukidhi viwango vya uanachama wa shirikisho hilo.
2
Mkurugenzi wa Shirika hilo Injinia Ladlsaus Matindi akinunua tiketi yake kama mfano wakati akiwaelezea wageni mbalimbali waliofika kwenye hafla ya uzinduzi huo.
3
Baadhi ya waalikwa  waliofika katika uzinduzi huo
4
Baadhi ya wawakilishi wa makampuni ya uuzaji wa tiketi za ndege wakizungumza wakati wa uzinduzi huo.
6
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL) Injinia Emmanuel Korosso akimsikiliza  Mkurugenzi wa Shirika hilo Injinia Ladlsaus Matindiwakati akielezea malengo ya shirika hilo katika baishara ya usafiri wa anga.
7
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL) Injinia Emmanuel Korosso akizungumza katika hafla hiyo kushoto ni  Mkurugenzi wa Shirika hilo Injinia Ladlsaus Matindi.
8
Mkurugenzi wa Shirika hilo Injinia Ladlsaus Matindi akimsikiliza Meneja Masoko wa shirika hilo.Bi. Christina Tungaraza Bi. Christina Tungaraza, Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL) Injinia Emmanuel Korosso.
kag1
Msemaji wa Shirika la Ndege la  Air Tanzania (ATCL) ,Bw. Josephat Kagirwa akitoa ratiba wakati wa uzinduzi wa mtandao  huo uliofanyika leo jijini Dar es salaam.
kag02‘
Msemaji wa Shirika la Ndege la Air Tanzania  (ATCL) ,Bw. Josephat Kagirwa akiwakaribisha Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya (ATCL) Injinia Emmanuel Korosso kulia na Injinia Ladslaus Matindi Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo ili kufanya uzinduzi rasmi wa mtandao wa kuuza tiketi leo.
kag2
Picha mbalimbali zikionyesha wageni waalikwa waliohudhuria katika hafla hiyo ya uzinduzi.
kag3
9
Baadhi ya wafanyakazi wa ndege wa ATCL wakiwa katika hafla hiyo.
10
Baadhi ya wafanyakazi wakiendelea na kazi ya kuuza tiketi za ndege.
11

KAGERA YATENGEWA HEKTA 58,000 KWA AJILI YA VIWANDA

Na Josephine Majura, WFM, Dodoma
Serikali imeeleza kuwa mikakati inayoendelea kutekelezwa na kuratibiwa katika Mkoa wa Kagera  ni pamoja na kutenga maeneo ya uwekezaji yenye ukubwa wa hekta 58,000 kwa ajili ya kuanzisha viwanda vya kusindika na kuongeza thamani ya mazao ya kilimo (Agro Processing Industries) hususani viwanda vya kusindika nyama, maziwa, asali, ndizi, miwa, kahawa na samaki.

Hayo yameelezwa Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji, alipokua akijibu swali la msingi la Mbunge wa Viti Maalaum Mhe. Halima Bulembo, aliyeuliza mkakati wa Serikali wa kuwa na miradi maalum ya kuondoa umasikini kwa Watu wa Kagera ambao ndio Mkoa pekee unaopakana na nchi nyingi zaidi za EAC na hivyo kuufanya kuwa Mkoa wa kimkakati kibiashara.

Alivitaja baadhi ya viwanda hivyo kuwa ni Kagera Fish Co. Ltd na Supreme Perch Ltd vinavyosindika minofu ya samaki, Kagera Sugar Co. Ltd na Amir Hamza Co. Ltd vinavyosindika miwa na kahawa, na Kiwanda cha Mayawa kinachosindika Mvinyo ya Rosella na juisi.

" Kampuni ya Josam imepatiwa eneo lenye ukubwa wa hekta 500 katika ranchi ya Kikulula na tayari imejenga bwawa kwa ajili ya kuvuna maji pamoja na kuanza ufugaji wa ng'ombe wa maziwa wapatao 100 hadi sasa" aliongeza Dkt. Kijaji

Dkt. Kijaji alieleza kuwa mkakati wa kutekeleza miradi maalum ya kuondoa umasikini katika Mkoa wa Kagera imeainishwa kwenye Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano 2016/2017 – 2020/2021, Mpango Mkakati wa Mpango wa utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo na Mipango ya Mkoa wa Kagera kwa ujumla.

“ Miradi yote ya kiuchumi na kijamii inayotekelezwa na Serikali na Sekta Binafsi katika mkoa wa Kagera, na mikoa mingine ni kwa ajili ya kuondoa  umaskini na kuboresha maisha ya wananchi”, alisema Dkt. Kijaji.

Aidha, aliainisha baadhi ya mikakati inayoendelea kutekelezwa na kuratibiwa na Serikali katika mkoa huo kuwa ni pamoja na  kuimarisha usafiri wa majini kwa kukamilisha ujenzi wa meli kubwa itakayotoa huduma ya usafiri na usafirishaji kati ya Bukoba na Mwanza.

Dkt. Kijaji aliongeza kuwa Serikali imeendelea kuimarisha miundombinu ya barabara kama vile barabara kwa kiwango cha lami ya Kyaka – Bugene (km 59.1), Kagoma – Lusahunga (Km. 154), Ushirombo – Lusahunga (Km. 50).

Alizitaja barabara nyngine zinazojengwa katika ukanda huo kuwa ni barabara ya Nyakanazi - Kibondo (km 50), ambayo ujenzi wake umefikia asilimia 40 pamoja na barabara ya Kyamyorwa - Buzirayombo (km 120).

“Kitaanzishwa kiwanda cha kuchakata madini ya bati katika wilaya ya Kyerwa ifikapo Juni, 2021 ambapo Kampuni ya Tanzaplus Minerals na African Top Minerals ltd zimeonesha nia ya kuwekeza katika sekta hiyo na tayari zimeanza kuleta mitambo ya uchenjuaji" aliongeza Dkt. Kijaji

Aliutaja mradi mwingine wa sekta ya madini kuwa ni uendelezaji na uwekezaji wa madini ya Nikeli Kabanga katika Wilaya ya Ngara ifikapo Juni mwaka 2021.

Mbunge wa Ilolo Mhe. Venance Mwamoto, aliuliza  mpango wa Serikali wa kukarabati barabara za mkoa wa Kagera kwakuwa una viwanda vingi  ili viweze kufikika kwa urahisi na kurahisisha biashara ndani na nje ya nchi.

Akijibu swali la nyongeza Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.  Atashasta Nditiye alisema kuwa Serikali imeshapeleka fedha katika mkoa huo na tayari imetoa tangazo la kutafuta Wakandarasi kwa ajili ya ukarabati wa barabara hizo.
kijaji%2B%25281%2529
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji (Mb)

RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO WA KAWAIDA WA 20 WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA

aa1
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Liberat  Mfumukeko na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo wakati alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kuhudhuria Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
aa2
aa3
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Burundi Mhe. Gaston Sindimo alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kuhudhuria Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
aa4
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudani ya Kusini Mhe. Barnaba Marial Benjamin akiwa na Balozi wa Nchi hiyo nchini Mhe. Mariano Deng Ngor wakati alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kuhudhuria Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
aa5
 Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame akilakiwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Liberat Mfumukeko na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo wakati alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kuhudhuria Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
aa6
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) muda mfupi kabla ya kuanza kwa  Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
aa7
aa8
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimiana na Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kabla ya kuanza kwa  Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
aa9
 Rais wa Uganda Mhe. Yowweri Kaguta Museveni akilakiwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Liberat Mfumukeko na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo wakati alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kuhudhuria Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
a13
Sehemu ya Ujumbe wa Tanzania katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) wakihudhuria Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019. Picha na IKULU