Matokeo chanyA+ online




Sunday, July 23, 2017

RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA MRADI WA MAJI NGURUKA UVINZA KIGOMA AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI TABORA KWA ZIARA YA KISERIKALI JULAI 23,2017


Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli mapema asubuhi ya tarehe 23 Julai 2017 akihutubia wananchi wa kijiji cha LUCHUGI-UVINZA Mkoani Kigoma akiwa njiani kuelekea Mkoani Tabora Kuanza Ziara ya Kiserikali Mkoani Humo Julai 23,2917
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisisitiza jambo akiwa kwenye mikutano yake mbalimbali ya njiani aliyosimma uili kuzungumza na wananchi wa vijiji vya mkoa wa Kigoma akielekea Mkoani Tabora kuanza Ziara ya KIserikali Mkoani humo, Julai 23,2017.
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimsikiliza mwenyekiti wa kijijji cha Uvinza Ndugu Nilisi Noa Ntabai alipokuwa akieleza kero ya maji ya eneo hilo la uvinza ikiwemo kusimama kwa kiwanda cha chumvi Uvinza ambacho kilikuwa tegemeo kwa wananchi wa eneo hilo,ambapo Mhe,Rais amewaahidi wananchi hao kumtuma Waziri wa Viwanda na Biashara kushughulikia tatizo hilo. Julai 23,2017.

Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikagua tanki la akiwa kuhifadhia maji toka mto Maragharasi kabla ya kuweka jiwe la msingi la maradi huo utakao hudumia waananchi wa Nguruka Uvinza mkoani Kigoma,kushoto kwa Mhe Rais ni Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge. Julai 23,2017.
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa ameambatana na Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge wakishuka ngazi mara baada ya Mh,Rais Kukagua Ujenzi wa Tanki la Kuhifadhia Maji kwaajili ya Wananchi wa Nguruka kabla ya kuhutubia wananchi. Julai 23,2017.
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipeana mkono na   Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge mara bada ya kuweka jiwe la msingi la maradi wa maji Nguruka. Julai 23,2017.
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wananchi wa Nguruka Uvinza Mkoani Kigoma,wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Tanki la Kuhifadhia Maji kwaajili ya Wananchi wa Nguruka. Julai 23,2017
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wananchi wa Nguruka Uvinza Mkoani Kigoma,wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Tanki la Kuhifadhia Maji kwaajili ya Wananchi wa Nguruka. Julai 23,2017
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwasalimia Mamia ya Wananchi wa Nguruka Uvinza Mkoani Kigoma mara baada ya kuhitimisha kuwahutubia wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Tanki la Kuhifadhia Maji kwaajili ya Wananchi wa Nguruka Julai 23,2017.

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI LEO TAREHE 22 JULAI, 2017 AMEWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA WA MJI WA KIGOMA NA KUHUTUBIA WANANCHI WA MJI WA KIGOMA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo jinsi mradi wa maji safi na usafi wa mazingira wa Mji wa Kigoma ambao unatarajiwa kumaliza tatizo la uhaba wa maji katika mji huo ifikapo tarehe 30 Novemba, 2017Mradi huo utagharimu Shilingi Bilioni 42 na ni moja ya miradi mitano iliyotekelezwa katika miji ya Lindi, Sumbawanga, Babati, Mtwara na Kigoma kwa gharama ya Shilingi Bilioni 164 zikiwa ni ufadhili kutoka Serikali ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) na Umoja wa Ulaya (EU)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kufunfungua ujenzi wa mradi wa maji safi na usafi wa mazingira wa Mji wa Kigoma ambao unatarajiwa kumaliza tatizo la uhaba wa maji katika mji huo ifikapo tarehe 30 Novemba, 2017Mradi huo utagharimu Shilingi Bilioni 42 na ni moja ya miradi mitano iliyotekelezwa katika miji ya Lindi, Sumbawanga, Babati, Mtwara na Kigoma kwa gharama ya Shilingi Bilioni 164 zikiwa ni ufadhili kutoka Serikali ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) na Umoja wa Ulaya (EU)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi mbalimbali wa serikali akifungua kitambaa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa maji safi na usafi wa mazingira wa Mji wa Kigoma ambao unatarajiwa kumaliza tatizo la uhaba wa maji katika mji huo ifikapo tarehe 30 Novemba, 2017Mradi huo utagharimu Shilingi Bilioni 42 na ni moja ya miradi mitano iliyotekelezwa katika miji ya Lindi, Sumbawanga, Babati, Mtwara na Kigoma kwa gharama ya Shilingi Bilioni 164 zikiwa ni ufadhili kutoka Serikali ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) na Umoja wa Ulaya (EU)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi waliofika eneo la chanza cha maji katika Ziwa Tangangika wakati wa kuweka jiwe la msingi la ujenzi mradi wa maji safi na usafi wa mazingira wa Mji wa Kigoma ambao unatarajiwa kumaliza tatizo la uhaba wa maji katika mji huo ifikapo tarehe 30 Novemba, 2017Mradi huo utagharimu Shilingi Bilioni 42 na ni moja ya miradi mitano iliyotekelezwa katika miji ya Lindi, Sumbawanga, Babati, Mtwara na Kigoma kwa gharama ya Shilingi Bilioni 164 zikiwa ni ufadhili kutoka Serikali ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) na Umoja wa Ulaya (EU)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kigoma katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Lake Tanganyika Mjini Kigoma

wananchi wa Kigoma katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Lake Tanganyika Mjini Kigoma wakisililiza Hotuba nzuri kutoka kwa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli 
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika oicha ya pamoja na vijana wa JKT mara baada ya kuhutubia wananchi wa mji wa kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika Mjini Kigoma 


Friday, July 14, 2017

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA IRELAND NA BI. GRACA MACHEL

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na  Rais wa Mstaafu wa Ireland, Mary Robinson pamoja na Bi. Graca Machel ambao ni Wajumbe wa Taasisi inayoshughulika na Amani,Haki za Binadamu na Huduma za Afya, wengine pichani ni Ujumbe ulioongozana na Viongozi hao pamoja na Wasaidizi wa Makamu wa Rais.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Rais wa Mstaafu wa Ireland, Mary Robinson ambaye pia ni Mjumbe wa Taasisi inayoshughulika na Amani,Haki za Binadamu na Huduma za Afya, Rais huyo Mstaafu aliongozana na Mjumbe mwingine wa Taasisi hiyo Bi. Graca Machel



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mjumbe wa Taasisi inayoshughulika na Amani,Haki za Binadamu na Huduma za Afya, Bi. Graca Machel ambaye aliongozana na  Rais wa Mstaafu wa Ireland, Mary Robinson kumtembelea Makamu wa Rais ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Mstaafu wa Ireland, Mary Robinson (kulia) ambaye pia ni Mjumbe wa Taasisi inayoshughulika na Amani,Haki za Binadamu na Huduma za Afya, kushoto ni Mjumbe wa Taasisi hiyo Bi. Graca Machel mara baada ya kumaliza mazungumzo kwenye ofisi za Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Tuesday, July 11, 2017

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA WAKAZI WA KIJIJI CHA LIKWACHU, WILAYA YA RUANGWA

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Wananchi wa kijiji cha Likwachu, Wilaya ya Ruangwa, akiwa katika ziara ya kikazi ya siku tano Mkoani Lindi, Julai 11, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Wananchi wa kijiji cha Likwachu, Wilaya ya Ruangwa, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipo ongea nao, wakati akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku tano Mkoani Lindi, Julai 11, 2017.

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Wananchi wa kijiji cha Likwachu, Wilaya ya Ruangwa, akiwa katika ziara ya kikazi ya siku tano Mkoani Lindi, Julai 11, 2017.

TCAA yapiga marufuku kununua, kurusha ‘drones’ bila kibali maalum

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imepiga marufuku urushwaji angani wa vifaa vya kieletroniki visivyo na rubani (drones) bila kupata kibali maalum.

Kupitia tangazo lake kwa umma, TCAA imesema kuwa kwa taasisi au mtu binafsi kufanya majaribio au kurusha drones, ni lazima apate idhini ya Wizara ya Ulinzi na Usalama pamoja na Mamlaka hiyo.

“Ifahamike kuwa kuanzia sasa, taasisi au mtu binafsi anayetaka kununua, kufanya majaribio au kurusha angani vifaa hivyo visivyotumia rubani anapaswa kupata idhidi ya Wizara ya Ulinzi na Usalama pamoja na kibali kutoka TCAA,” imeeleza taarifa ya Mamlaka hiyo.

Taarifa hiyo iliyosainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza Johari imefafanua kuwa uendeshaji wa shughuli zote za anga nchini uko chini ya Mamlaka hiyo kwa mujibu wa sheria na kanuni zilizopo.

Tangazo hilo linakuja wakati ambapo kumekuwa na urushwaji wa drones unaofanywa na watayarishaji wa video za muziki kwa lengo la kuchukua picha za juu, pamoja na taasisi mbalimbali zinazochukua matukio husika hasa yanapofanyika katika maeneo ya wazi.

Drones zilitumika zaidi katika uchaguzi wa mwaka 2015 ambapo mikutano ya kampeni za wanasiasa ilikuwa ikipigwa picha za juu kuonesha umati uliohudhuria.

Friday, July 7, 2017

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI ALIPOZUNGUMZA NA WANANCHI WA MKOA WA GEITA WAKATI AKIELEKEA CHATO JANA JIONI JULAI 04,2017



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpungia mkono Mama mmoja mlemavu mkazi wa Buseresere mara baada ya kumaliza kuhutubia mamia ya wakazi wa Katoro na Buseresere waliojitokeza pembezoni mwa barabara katika eneo hilo kumsalimia wakati akielekea Chato Mkoani Geita jana jioni.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Bwanga njia panda ya kuelekea Makao makuu ya Wilaya ya Chato jana jioni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Katoro na Buseresere mara baada ya kusimama wakati akielekea Chato mkoani Geita.
Wananchi wa Geita waliokuwa na Shauku ya kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiwa wamepanda juu ya magari pembezoni mwa barabara ya Usagara-Sengerema-Geita jana jioni.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kada wa zamani wa CHADEMA Hamis Tabasamu ambaye alikuwa akionesha Kadi yake mpya ya CCM mara baada ya kuhamia. Kadi hiyo alikabidhiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza katika Wilaya ya Sengerema
Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela akichukua maelezo ya mama huyo Rosemary Lucas aliyevunjiwa nyumba yake Sengerema mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mama Rosemary Lucas ambaye alikuwa akiwasilisha kero yake ya kuvunjiwa nyumba Sengerema mkoani Mwanza.

Monday, July 3, 2017

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UBORESHAJI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam katika eneo la Bandari hiyo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird mara baada ya kuweka jiwe la msingi mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla ya kuweka jiwe la msingi mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
 Baadhi ya mabalozi kutoka nchi mbalimbali wakifatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kuweka jiwe la msingi mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird mara baada ya kutoa hotuba yake kabla ya uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird alipokuwa akisoma hotuba yake.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird wakati wakitazama kipeperushi ya maelezo ya Mradi wa uboreshaji wa Bandari jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird pamoja na viongozi wengine wakiimba wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili katika eneo la Bandari jijini Dar es Salaam.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akicheza muziki pamoja na Banana Zorro, Mrisho Mpoto, pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akicheza muziki pamoja na Banana Zorro, Mrisho Mpoto, pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akicheza muziki pamoja na Banana Zorro, Mrisho Mpoto, pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma mara baada ya tukio la uwekaji wa jiwe la msingi Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na viongozi wengine waliosimama wakati Banana Zorro pamoja na Mrisho Mpoto walipokuwa wakiimbawimbo wa Aamka Tufanye kazi kabla ya tukio la uwekaji wa jiwe la msingi Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam. PICHA NA IKULU