Matokeo chanyA+ online




Wednesday, January 31, 2018

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA PASIPOTI MPYA YA TANZANIA YA KIELEKTRONIKIA JIJINI DAR ES SALAAM JANUARI31,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akionesha kwa furaha passipoti yake mpya  ya kielektronikia baada ya kuipokea kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam,Kushoto ni Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na kushoto kwa Waziri ni Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Dkt. Peter Makakala.Januari 31, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt  John Pombe Magufuli   akionesha kwa furaha passipoti yake mpya  ya kielektronikia baada ya kuipokea kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt  John Pombe Magufuli  akiiangalia passipoti yake mpya  ya kielektronikia baada ya kuipokea kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt  John Pombe Magufuli  akipokea passipoti yake mpya  ya kielektronikia  kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018. 

Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein  akipokea pasipoti yake mpya ya kielektronikia kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.  

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akionesha kwa furaha passipoti yake mpya  ya kielektronikia baada ya kuipokea kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018. 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  akiweka sahihi kwa ajili ya kujipatia pasipoti yake mpya  makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.  




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli     akichukuliiwa alama za vidole  kwa ajili ya kujipatia pasipoti yake mpya ya kielektronikia  makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.  


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Dkt Mwigulu Nchemba wakimsikiliza Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Dkt. Peter Makakala  akielzea hatua mbalimbali za upatikanaji wa passipoti mpya  ya Tanzania ya  kielektronikia makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.



Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli  akichukuliiwa alama za vidole  kwa ajili ya kujipatia pasipoti yake mpya ya kielektronikia  makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiangalia namna pasipoti za kielektonikia mara baada ya kuchapwa  alipokuwa akielezewa na Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Dkt. Peter Makakala  makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisaliamiana na Rais mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt.Aman Abeid Karume katika hafla ya ufunguzi wa pasipoti za kielektonikia makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa amesimama  na Viongozi wengine wa kitaifa wakati wa kuimba wimbo wa Taifa wakati wa uzinduzi wa pasipoti za kielektonikia   makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.

Baadhi ya Maafisa waandamizi wa Uhamiaji wakipiga saluti wakati wa wimbo wa Taifa kwenye sherehe za uzinduzi wa  pasipoti  mpya ya Tanzania  kielektronikia  makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.

Balozi wa Irendi nchini Tanzania Balozi Paul Sherlockna akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa pasipoti za kielektonikia   makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Balozi wa Irendi nchini Tanzania Balozi Paul Sherlockna akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa pasipoti za kielektonikia   makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.

Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Dkt. Peter Makakala  akitoa hotuba yake mbele yaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kuhusu passipoti mpya  ya Tanzania ya  kielektronikia makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.

Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Dkt Mwigulu Nchemba akitoa hotuba yake mbele yaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kuhusu passipoti mpya  ya Tanzania ya  kielektronikia makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Viongozi wastaafu wa Idara ya Uhamiaji mara baada ya uzinduzi wa pasipoti za kielektonikia   makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.

Tuesday, January 23, 2018

WAZIRI MKUU, KASSIM  MAJALIWA AMEHITIMISHA ZIARA YA MKOA WA MARA, JANUARI 21,2018. 

Miongoni mwa kazi alizofanya ni kuzungumza na viongozi na watumishi wa mkoa huo, kuhutubia mkutano wa hadhara na kutembelea kituo cha Afya cha kijiji cha Muragi, Musoma Vijijini.  Alitembelea Chuo Kikuu cha J.K Nyerere na kumkabidhi Mbunge wa Butiama, Nimrod Mkono hati maalum ya kutambua mchango wake katika ujenzi wa Shule ambazo alizikabidhi kwa serikali yakiwemo majengo ya Chuo cha J.K. Nyerere. Pia alizindua mabweni ya Sekondari ya Bumagi na akiwa njiani kurejea nyumbani alipitia kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza na kusalimiana
 na viongozi.









RAIS WA ZANZIBAR DK.ALI MOHAMED SHEIN AZUNGUMZA NA MTUKUFU SHEIKH MOHAMMED BIN ZAYED AL NAHYAN, MRITHI WA MTAWALA WA ABU DHABI


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE)wakiwa katika ukumbi wa makadhi ya Kiongozi huyo Nchini Abu Dhabi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan,Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE) wakiwa katika ukumbi wa makadhi ya Kiongozi huyo Nchini Abu Dhabi. kulia Balozi wa Tanzania Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Mbarouk Nossor Mbarouk

VIONGOZI wa Ngazi za juu wa Serikali ya Abu Dhabi wakihudhuria hafla hiyo katika ukumbi wa makaazi wa Mfalme wakati wa mkutano huo.


Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE)akimtambulisha Mtoto Aaliyah Al Mansoori kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohahed Shein, wakati wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika makaazi ya Kiongozi hiyo Nchini Abu Dhabi.

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JANUARI 22,2018.


Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.Januari 22,2018.

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI SITA WA NCHI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.JANUARI 22,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Balozi mteule wa Ugiriki hapa nchini Konstantinos Moatsos wakati alipokuwa akijitambulisha kabla ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 22,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi wa Ugiriki hapa nchini Konstantinos Moatsos mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 22,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Ugiriki hapa nchini Konstantinos Moatsos mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 22,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Ugiriki hapa nchini Konstantinos Moatsos mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 22,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Mali hapa nchini Fafre Camara Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 22,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi wa Mali hapa nchini Fafre Camara mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 22,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Mali hapa nchini Fafre Camara Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 22,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Balozi wa Ethiopia hapa nchini Dina Mufti Said wakati akijitambulisha kabla ya kuwasilisha Hati za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 22,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Dkt. Augustine Mahiga kwa Balozi wa Ethiopia hapa nchini Dina Mufti Said Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 22,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Ethiopia hapa nchini Dina Mufti Said Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 22,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Ethiopia hapa nchini Dina Mufti Said Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 22,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Colombia hapa nchini Elizabeth Taylor Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 22,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Colombia hapa nchini Elizabeth Taylor Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 22,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kitabu alichopewa na Balozi wa Colombia hapa nchini Elizabeth Taylor Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 22,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Colombia hapa nchini Elizabeth Taylor mara baada ya mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 22,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Argentina hapa nchini Martin Gomez Bustillo Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 22,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Argentina hapa nchini Martin Gomez Bustillo Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 22,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Argentina hapa nchini Martin Gomez Bustillo Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 22,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino hapa nchini Uriel Norman Garibay Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 22,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino hapa nchini Uriel Norman Garibay Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 22,2018.

Thursday, January 18, 2018

PARACHICHI YA NCHI YETU NI URITHI WA ULIMWENGU LINA SOKO KUBWA NCHI ZA ULAYA.

Soko kubwa na bei Nzuri ya Parachichi imeimarika Nchi za Ulaya  za  Denmark, Ufaransa, Uholanzi, Norway, Hispania na Uingereza Likitoa fulsa mpya ya Ustawi wa  zao hili kwa Watanzania, imebainika  kwamba Parachichi ya Tanzania imechukua chati ya Ubora katika Soko hilo.

Uchunguzi kitakwimu una baini Mwaka 2012, kiasi cha mauzo ya nje ya Parachichi yalikuwa kilo 488,492 tu, Miaka mitatu baadae Mwaka 2015 Tanzania ilisafirisha Kilo 2,579,976 Ikiwa ni ongezeko la 428.48%.

Kwa mujibu wa Kampuni ya Africado ambayo ni  kampuni ya kwanza ya Tanzania inayosafirisha Parachichi nchini Uingereza ambako maduka makubwa vyakula ya Ocado, Sainsbury, Tesco na Waitrose, Parachichi ya Tanzania inatajwa kuwa Bora zaidi katika soko hilo la Ulaya.

Walaji wa Ulaya wamenogewa na Parachichi linalo zalishwa Mufindi na Kilolo likitajwa kupatikana msimu ambao Nchi zaidi ya Kumi zinazozalisha Tunda hili kuwa Nje ya Msimu wa Uvunaji wa Zao hili
Parachichi linazaliswa na Nchi zaidi ya 10 Duniani  zikiwemo Argentina, Brazil, Chile, Colombia, Dominican Republic, Israel, Kenya, Mexico, Morocco, Peru, South Africa, Spain, Swaziland, Tanzania

Zao la Parachichi limeonyesha mwenendo mzuri wa bei na Soko kubwa Ulaya likiuzwa kwa hadi Sh za Kitanzania 7000 ama Paun 1.95 hii leo,fulsa hii inaangukia Tanzania

Kipindi cha mavuno cha sasa ni Juni hadi Agosti, Huku Tanzania pekee inaweza kuvuna na kusambaza kuanzia mwezi Machi hadi Oktoba

Sisi Kama Taifa ni Muda sasa wa kuacha mambo yasiyo ya Msingi na kujikita na Fulsa kubwa kama hii,Tumeona MatokeoChanyA+ katika Korosho na Sasa Taifa Turudi kujikita na kilimo na hasa kunapojitokeza fulsa mazao kama Parachichi, kwa sasa wanaonufaika zaidi na Soko hili Ni wageni walioshtukia mapema Fulsa hii.