Matokeo chanyA+ online




Tuesday, January 23, 2018

WAZIRI MKUU, KASSIM  MAJALIWA AMEHITIMISHA ZIARA YA MKOA WA MARA, JANUARI 21,2018. 

Miongoni mwa kazi alizofanya ni kuzungumza na viongozi na watumishi wa mkoa huo, kuhutubia mkutano wa hadhara na kutembelea kituo cha Afya cha kijiji cha Muragi, Musoma Vijijini.  Alitembelea Chuo Kikuu cha J.K Nyerere na kumkabidhi Mbunge wa Butiama, Nimrod Mkono hati maalum ya kutambua mchango wake katika ujenzi wa Shule ambazo alizikabidhi kwa serikali yakiwemo majengo ya Chuo cha J.K. Nyerere. Pia alizindua mabweni ya Sekondari ya Bumagi na akiwa njiani kurejea nyumbani alipitia kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza na kusalimiana
 na viongozi.









No comments:

Post a Comment