Matokeo chanyA+ online




Monday, July 23, 2018

SIKU YA TATU ZIARA YA MAKAMU WA RAIS MKOANI SONGWE-TUNDUMA 23/7/201

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali mtoto Esther Luila mwenye umri wa miaka 7 mara baada ya kukifungua  kituo cha Afya Tunduma  ikiwa siku ya tatu ya ziara yake ya kuhamasisha shughuli za kimaendeleo mkoani Songwe. 



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia viatu vya ngozi vilivyotengenezwa na Wajasiriamali wa Wilaya ya Momba muda mfupi kabla hajahurubia kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Tunduma ikiwa siku ya tatu ya ziara yake mkoani Songwe.





Sehemu ya Umati wa wakazi wa Tunduma waliojitokeza kumsikiliza Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wauguzi wa Kituo cha Afya cha Tunduma mara baada ya kukifungua  ikiwa siku ya tatu ya ziara yake ya kuhamasisha shughuli za kimaendeleo mkoani Songwe


No comments:

Post a Comment