Matokeo chanyA+ online




Wednesday, August 8, 2018

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI TANZANIA (TEC) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.AGOSTI 7,2018

Share


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifanya sala na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga, Makamu wa Rais wa Baraza hilo Dkt. Flavian Kasalla na  Katibu Mkuu wa TEC  Dkt. Charles Kitima viongozi hao wapya wa kanisa walipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na  Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga, Makamu wa Rais wa Baraza lhilo Dkt. Flavian Kasalla  wakiwa na  Katibu Mkuu wa TEC  Dkt. Charles Kitima,viongozi hao wapya wa kanisa walipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikabidhiwa kitabu cha miongozo ya sala na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga kulia ni Makamu wa Rais wa Baraza hilo Dkt. Flavian Kasalla na  Katibu Mkuu wa TEC  Dkt. Charles Kitima viongozi hao wapya wa kanisa walipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisoma mara baada ya kukabidhiwa kitabu cha miongozo ya sala na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga kulia ni Makamu wa Rais wa Baraza hilo Dkt. Flavian Kasalla na  Katibu Mkuu wa TEC  Dkt. Charles Kitima viongozi hao wapya wa kanisa walipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Dkt. Flavian Kasalla huku Rais wa TEC Askofu Gervas John Nyaisonga (wa pili kushoto) na Katibu Mkuu wa Baraza hilo Dkt. Charles Kitima wakiangalia baada ya viongozi hao wapya wa kanisa kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018
Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) huku Makamu wa Rais wa Baraza hilo Dkt. Flavian Kasalla  wakiwa na Katibu Mkuu wa Baraza hilo Dkt. Charles Kitima ambaye anaongea na wanahabari mara baada ya viongozi hao wapya wa kanisa kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga na  Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Dkt. Flavian Kasalla  wakiwa na  Katibu Mkuu wa Baraza hilo Dkt. Charles Kitima baada ya viongozi hao wapya wa kanisa kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga na  Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Dkt. Flavian Kasalla  wakiwa na  Katibu Mkuu wa Baraza hilo Dkt. Charles Kitima baada ya viongozi hao wapya wa kanisa kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC)   Dkt. Charles Kitima akiwa na Rais wa Baraza hilo Askofu Gervas John Nyaisonga na Makamu wa Rais wa Baraza hilo Dkt. Flavian Kasalla viongozi hao wapya wa kanisa walipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018

No comments:

Post a Comment