Matokeo chanyA+ online




Wednesday, September 30, 2020

MGOMBEA MWENZA WA KITI CHA URAIS KWA TIKETI YA CCM SAMIA SULUHU HASSAN, AZUNGUMZA NA WANANCHI WA HAYDOM MKOANI MANYARA

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM  katika Uwanja wa Haydom Mkoani Manyara leo Septemba 30,2020

 


Umati wa Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Haydom Mkoani Manyara wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Haydom Mkoani Manyara leo Septemba 30,2020.


Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana Viongozi Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Haydom Mbulu Vijijini Mkoani Manyara alipowasili katika uwanja wa Haydom kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM  leo Septemba 30,2020.





Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa kijiji cha Labai na Dinamu Wilaya Hanang alipokuwa njiani akielekea Wilaya ya Hanang kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa  kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 30,2020.

No comments:

Post a Comment