Matokeo chanyA+ online




Tuesday, May 3, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Baraza la Eid El-Fitr lililoandaliwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) katika ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere Conventional Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Mei, 2022.


Waumini wa Dini ya Kiislamu na wale wa Imani nyingine wakiwa katika Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere Conventional Centre Jijini Dar es Salaam kuhudhuria Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) tarehe 03 Mei, 2022
 







 

No comments:

Post a Comment