Matokeo chanyA+ online




Saturday, January 21, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Syngenta Crop Protection AG, Davos nchini Uswizi


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni kubwa inayojihusisha na kilimo, Syngenta Crop Protection AG Erik Frywald aliyeambatana na ujumbe wake Davos nchini Uswizi.

No comments:

Post a Comment