Matokeo chanyA+ online




Wednesday, March 8, 2023

Baadhi ya Viongozi na wajumbe wa Baraza la wanawake Chadema Taifa @BAWACHA wakifurahia na kuhamasisha utalii wa ndani kuelekea Kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Machi 8.2023 yatakayo fanyika Kitaifa Mkoani Kilimanjaro Mgeni rasmi akiwa ni Rais Dk. Suluhu Samia







 

No comments:

Post a Comment