Matokeo chanyA+ online




Monday, March 13, 2023

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MAFUNZO KWA WAKUU WA WILAYA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Jiji la Dodoma uliopo Mtumba kufungua Mafunzo ya Uongozi kwa Wakuu wa Wilaya  tarehe 13 Machi 2023






Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akihutubia Wakuu wa Wilaya wanaoshiriki Mafunzo ya Uongozi wakati wa ufunguzi wa Mafunzo hayo yanayofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jiji la Dodoma uliopo Mtumba  tarehe 13 Machi 2023.

 






Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa na Waziri wa TAMISEMI Angellah Kairuki, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Jenista Mhagama,Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Daniel Chongolo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule katika picha ya pamoja na Wakuu wa Wilaya wanaoshiriki mafunzo ya uongozi mara baada ya ufunguzi wa mafunzo hayo katika Ukumbi wa Mikutano wa Jiji la Dodoma uliopo Mtumba  tarehe 13 Machi 2023.

 

No comments:

Post a Comment