Matokeo chanyA+ online




Monday, October 30, 2017

MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN, MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA HAFLA YA UZINDUZI WA SERA YA TAIFA YA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA YA MWAKA 2016 NA MKAKATI WA UTEKELEZAJI WA SERA HIYO TAREHE 23 OKTOBA, 2017 DODOMA


Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan  amezindua Sera ya Taifa ya huduma ndogo za fedha ya mwaka 2017 pamoja na mkakati wa utekelezaji wa mwaka 2017/2018 hadi 2027/2028 huku akizitaka taasisi za fedha nchini kuangalia kwa kina suala la riba linalokuwepo kwenye mikopo kwa kuwa limekuwa likiwaumiza wananchi wa hali ya chini.


No comments:

Post a Comment