Matokeo chanyA+ online




Monday, October 30, 2017

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI JIJINI MWANZA NA KUFUNGUA DARAJA LA JUU LA WATEMBEA KWA MIGUU LILILOPO FURAHISHA JIJINI MWANZA,OKTOBA 30,2017.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw.John Mongela Mkuu wa mkoa wa Mwanza mara baada ya kuwasili katika Uwanaja wa Ndege wa Mwanza uliopo Jijini Mwanza oktoba 30,2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Viongozi wa Mkoa wa Mwanza mara baada ya kuwasili Jijini Mwanza oktoba 30,2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Mwanza katika ufunguzi wa daraja la watembea kwa miguu lililopo eneo la Furahisha Jijini Mwanza oktoba 30,2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi mbalimbali akivuta utepe kwenye jiwe la ufunguzi kuashiria ufunguzi wa wa Daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha liliopo jijini Mwanza Oktoba 30,2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mikono wananchi wa Mwanza mara baada ya kufungua daraja la watembea kwa miguu lililopo eneo la Furahisha Jijini Mwanza oktoba 30,2017.
Wanachi waliojitokeza kumshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kufungua daraja la watembea kwa miguu lililopo eneo la Furahisha Jijini Mwanza oktoba 30,2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma ya mchelemchele ya Jijini Mwanza mara baada ya kufungua daraja la watembea kwa miguu lililopo eneo la Furahisha Jijini Mwanza oktoba 30,2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimu mtoto mwanafunzi mara baada ya kufungua daraja la watembea kwa miguu lililopo eneo la Furahisha Jijini Mwanza oktoba 30,2017.
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment