Matokeo chanyA+ online




Monday, February 20, 2023

Kundi la waangalizi wa Jumuiya ya Madola, likiongozwa na aliyekuwa rais wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki, limeitembelea tume ya uchaguzi nchini Nigeria INEC mapema leo Jumatatu kuaangazia utayari wa tume hiyo kuelekea uchaguzi wa urais wa mwezi huu.

 




No comments:

Post a Comment